22.11.13

Thursday, June 27, 2013

(Photo's) MWISHO MWAMPAMBA afungua duka la toy za watoto pande za SINZA.

Mwisho Mwampamba mshiriki wa Big Brother ya kwanza kabisa baada ya kimya kingi chakuweka makazi pande za Namibia yeye na familia yake, sasa hivi amerudi nyumbani na amekuja kikazi zaidi na kuamua kufungua duka la toy za watoto lenye kila kitu ambavyo mtoto atachezea. Duka hili lipo maeneo ya Sinza Palestina linatizamana na msikiti mkuu.No comments: