Pichani ni mtanzania David Johson aka Big Dady akiwa na msanii kutoka USA anajulikana kwa jina la Mims wakienjoy pamoja na mchizi akamwambia kuwa yule freestyle artist Mangwea kutoka Tanzania amefariki ndipo wakaamua kurecord clip hii fupi. Mims alipokuja hapa Tanzania alikwenda Bongo Rec kufanya track na JayMoe ndipo alipokutana na Mangwea wakaanza freestyle mpaka wakajuana.
No comments:
Post a Comment