22.11.13

Wednesday, July 17, 2013

(Audio) Dady Dadyz ft. Tash - MIDADI


DADY DADYZ NI KUNDI LA MUZIKI KUTOKA MBEYA LENYE MAKAZI YAKE JIJINI DAR KUNDI HILI LINAUNDWA NA WANAMUZIKI WAWILI A2 NA SOLO2, HUU NI WIMBO WAO WA PILI BAADA YA KUACHIA WIMBO ULIOITWA “MZURI” KUTOKA KWA MKALI LAMAR.. TIME HII WAMEKUJA NA WIMBO UNAITWA “MIDADI” ULIOFANYIKA STUDIO ZA MESENI SELEKTA ZILIZOPO SINZA,  AKISHIRIKISHWA  MWANAMUZIKI “TASH”....NI CLUB BANGER, AFRO POP YENYE LOVE STORY NDANI YAKE ! “AM SURE WATU WATA DANCE ON IT NA KUENJOY” ALISEMA SOLO MMOJA WA MEMBER HAO! WIMBO HUU UMEZINDULIWA RASMI KWENYE NCHI 4 AMBAZO NI TANZANIA, KENYA, BOTSWANA NA GHANA! ENJOY THIS NEW & NICE VIBE!

SONG: MIDADI
GROUP: DADY DADYZ
ARTISTS: SOLO2 & A2
FEARTURED ARTIST: TASH
PRODUCER: MESEN SELECTOR 
FACEBOOK PAGE: Dady Dadyz

No comments: