22.11.13

Wednesday, July 03, 2013

(Audio) Tiko - Watu

Anaitwa Tiko Hassan - Jina la kisanii anaitwa TIKO ni Bongo Movie baada ya kufanya movie kibao hapa bongo sasa Mwaka Huu 2013 na yeye kaamua kwenda Studio za Mazuurecords na kufanya Wimbo wake wa kwanza unaojulikana kwajina la Watu. Nasasa yupo mbioni kwakumalizia ALbum yake ya kwanza ndani ya Studio za Mazuurecords. Album imebeba nyimbo Hitz zaidi ya 10 - Miongoni mwa nyimbo hizo ni kama  pamoja na 1. Watu, 2.Acha love iyongee 3. Mimi na yeye na nyengine kibaao. Tiko -Sijaacha Maigizo bado nipo na Muziki upo katika Damu

1 comment:

Anonymous said...

Amejitahidi sana na ukizingatia hii ngoma yake ya kwanza, pongez kwake.