22.11.13

Saturday, July 27, 2013

(Audio) West pasu - Magumashi

Toka kilimanjaro goma linaitwa "Magumashi" Wanakuja WEST PASU Wakiwakilisha vyema Moshi Town katika Hiphop Game, ngoma imepikwa pande za noizmekah production studios chini ya Defxtro, Pata kuisikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania, mawasiliano zaidi piga simu namba +255 719 812 262 au +255 758 423 233 powered by www.vmgafrica.com

1 comment:

Anonymous said...

Mmetisha mbaya...motown inakuja speed mbaya...