DJCHOKAblog TOP 10 kwa wiki hii na kura zilizopigwa kwa nyimbo zote 10 zilikuwa 732 na haya ndio majibu kwa wiki hii, nyimbo mbili za mwisho nikimaanisha zilizopata kura ndogo zitatoka na kuingia nyimbo mpya kwenye chat.
1 Rama Dee ft Lady JayDee - KAMA HUWEZI 184
2 Lady JayDee - YAHAYA 157
3 Quick Rocka ft. Mangwea & Shaa - MY BABY 86
4 Joh Makini - NIKUMBATIE 84
5 AY & Mwana FA - BILA KUKUNJA GOTI 69
6 Solo Thang - KARATA 43
7 DJ Choka ft Deddy, Mrap, Mabeste & Gosby - LATINO NATION 38
8 AT - KITUMBUA 29
9 Gosby - BMS 26
10 Mrap - ATTENTION 16
Kama unavyoona wiki hii nyimbo mbili zitakazotoka ni wimbo wa GOSBY pamoja na MRAP ambazo zilipata kura chache. Nyimbo zilizoingia wiki hii ni wimbo wa Mansu-Li ft Jay Moe,Q The Don - LEO NDIO LEO na wimbo wa Baghdad ft Nay wa Mitego & Chidi Beenz - WAAMBIE NIPO. Je hizi zilizoingia zitaweza kukaa kwenye chati? basi tuendelee kupiga kura tuone wiki ijayo nyimbo gani zitabaki na nyimbo gani zitatoka.
No comments:
Post a Comment