Hii ni Blog inayomilikiwa na Mtangazaji na DJ wa Mambo Jmabo Radio Arusha DJ HAAZU ambapo imekuwa kimya kwa muda kidogo kwa sababu ya Marekebisho fulani.
Kwa sasa Blog Hiyo ina muonekano Mpya tofauti na Ilivyokuwa Mwanzoni. HAAZU BLOG Inawaomba radhi wale wote waliokwazika kutokana na Ukimya huo.
DJ HAAZU anawashukuru pia wadau  wote wanaotembelea www.haazu.blogspot.com  Na kwa sasa itakuwa ikikupa habari zenye uhakika na zilizojitesheleza kama hapo awali.
HAAZU BLOG INATOA SHUKRANI PIA KWA MTANDAO HUU ULIOKUFIKISHIA TAARIFA HII MDAU.
KWA PAMOJA TUSUKUME SANAA YA TZ KIMATAIFA ZAIDI

UNAWEZA KUITEMBELEA SASA KWA KUCLICK HAPA---->  www.haazu.blogspot.com

ASANTE KWA SUPPORT