22.11.13

Wednesday, July 24, 2013

(News) Baada ya kufanya vizuri Dar es Salaam, sasa TEAM ANACONDA inaelekea ARUSHA.

 Napenda kuwataarifu wakazi wa Arusha kuwa Prof Jay, Lady JayDee na Machozi Band watakuwa kwenu Eid Mosi na Eid Pili karibuni tusherehekee pamoja ‪#‎teamANACONDA inawatakia mfungo mwema kwa siku zilizobaki...

Arusha stand up TUNAKUJA 
#teamANACONDA

2 comments:

Anonymous said...

karibuni sana chuga aisee. wanapakwepa kuja kufanya show hatimaye wananyamwezi mnashuka

wise monica kaaya said...

Tishaaaa sana teamanaconda