Pichani ni Ama G pamoja na Dir John Kallaghe
Muandaaji wa video wa kampuni ya kalla pics amejikuta akikataa au
kuzungusha kukabidhi video mpya ya msanii AMA G ambaye alifanya poa
kupitia video ya NENDA SALAMA siku za hivi karibuni,kichupa hicho kipya
cha AMA G kilifanyika miezi kadhaa(5) iliyopita chini ya kampuni ya
KALLAPICS kutokana na sababu ambazo hadi sasa hazijafahamika,kwa nini
iwe kila siku kallage? Ama G alidai hatopenda kuliweka bayana jambo hili
lakini liko katika vyombo vya dola anachotakiwa kufanya ni kumtafuta
director huyo na kumfikisha panapostahili ili aweze kurudisha gharama
zote ikiwemo na muda! pia alidai ataliweka wazi jambo hili ndani ya siku
chache zijazo.
No comments:
Post a Comment