22.11.13

Thursday, July 18, 2013

(News) Haya Haya hii ni maalumu kwa wasomaji wote wa ‪#‎DJCHOKAblog‬

Natafuta wasomaji wawili watakaotembelea blog yangu na wakabahatika kukutana na namba hii 8000000. Ni mvulana mmoja na msichana mmoja kutokea Dar es Salaam, wakibahatika kukutana na namba hiyo waipige picha halafu wanitumie kupitia email hii djchoka84@yahoo.com. Zawadi nitaitaja baada yakuwapata hao washindi watakaotokea Dar. Ukipata ujumbe mjulishe na mwenzako atembelee #DJCHOKAblog

No comments: