Mkali wa stage Afrika mashariki na kati H.BABA
anatarajia kuachia ngoma mbili kwa style tofauti .moja kwa jina la POPO
yupo na Hussein Machozi na Linex Sunday Mjeda VOA na ingine FUNGA ZIPU yupo na ALLY NIPISHE, KANNAL TOP, SONY MASAMBA.
H.Baba anakauli mbiu yake ya jukwaa halina promo .
Sababu yakutoa ngoma
mbili ni kutokana na maombi ya mashabiki siku alipofunika show uwanja
wa taifa. Nakusema Naheshimu mashabiki wangu kwani wao ndo maboc zangu
mie kibalaka wao wao ndo waamuzi wa mwisho bila wao akuna H.BABA
No comments:
Post a Comment