22.11.13

Tuesday, July 16, 2013

(News) Ilikuwa si kazi rahisi sana kufanya collabo na watu wawili wasiopatana "BAGHDAD"

Baghdad akiwa katika mahojiano na Edwin asema ilikuwa si kazi rahisi sana kufanya collabo na watu wawili (Chid Benz na Nay wa Mitego) wasiopatana lakini hakuwa na maana mbaya, anasema Wimbo wangu mpya ndiyo ulinifanya niwakutanisha, ila kitu kinachoniumiza sana kuona Chid Benz amenikasirikia mimi na anasema kwamba hatonisamehe kwa kitendo nilichomfanyia ningependa kuwaomba wasanii wote tuwe na umoja ili kazi zetu zile nzuri# sio kuwekeana majungu alisema Baghdad

No comments: