22.11.13

Monday, July 29, 2013

(News) JAY MOE kudondosha nyimbo mbili kwa mpigo "CBM & ONLY YOU"

Msanii wa Hip Hop nchini "JAY MOE" baada ya ukimya wa mda kidogo ameamua kurudi na nyimbo mbili kwa mpigo, wimbo mmoja akiwa ameupa jina la Check Bob Maarifa CBM ndani yake amewashirikisha wasanii wenzake AY, Cpwaa na Mr. Blue. Wimbo mwingine ameupa jina la ONLY YOU akiwa amemshirikisha Ommy Dimpoz.
 Je unadhani JAY MOE ngoma zake hizi mbili zinaweza kuchafua hali ya hewa
Nitumie maoni yako sasa kupitia simu yako ya kiganjani
Andika DJCHOKA halafu unaandika ujumbe wako na utatuma kupitia namba hii 15678

No comments: