22.11.13

Monday, July 29, 2013

(News) KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI KALI ZA WASANII KUTOKA DJCHOKAblog KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI.

Habari zenu Wadau
Sasa unaweza kupata habari kutoka DJCHOKAblog kupitia simu yako ya kiganjani, chakufanya ni unatakiwa kujiunga kwa kutuma msg yenye neno DJCHOKA kwenda namba 15678 na utarudishiwa msg kuwa umeshajiunga. 

Pia unaweza kutuma maoni, ushauri, au ujumbe wowote unaojisikia kunitumia, unaanza kwa kuandika DJCHOKA halafu unaandika ujumbe wako na ukimaliza unatuma kwenda namba 15678 na utatozwa hela ya kawaida kama unavyotuma msg kwenda mitandao mingine.

Huduma hii  ni kwa mitandao yote ya Tanzania kuanzia Vodacom, Airtel, tiGO na Zantel

5 comments:

Anonymous said...

MCHAGA WEWE NIMEKUELEWA SANA AISEE...

Anonymous said...

Safi sana CHOKA ni moja kati ya hatua zako.. kila siku nakufuatilia najua kuna siku tu utafika

Anonymous said...

wee mkali wangu

Anonymous said...

ni vema ukiwa unachakarika kama hivi kuendelea kuipeperusha bendera ya bongo sio hao wengine wanacopy na kupaste

Anonymous said...

Choka wewe ni moja kati ya watu wanajitolea kuupeleka mbali huu mziki wetu au kazi zetu kutoka bongo, sijawai ona unawafagilia hao wakina Jay Z kwenye blog yako labda awe anakuja bongo tu.