22.11.13

Tuesday, July 02, 2013

(News) MMOJA KATI YA WASHINDI 5 WA PROMOSHENI YA CHEKA NAO KAKABIDHIWA KITITA CHAKE

 Mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao Bw. Isaya Sengo-mkazi wa eneo la makunguru Mbeya,ambae ni mshindi ,kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi Milioni 2 kila mmoja,kwenye Promosheni hiyo  inayowawezesha  wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu,akimuonesha Meneja wa Vodacom  kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Elisha Tengeni (kulia)  meseji ya M-PESA yenye  Tsh milioni 2 alizotumiwa kwa kushinda katika promosheni hiyo kabla ya kuzitoa ili kujiunga na promosheni hiyo wateja wanatakiwa kupiga *149*01# 

 Mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao Bw. Isaya Sengo-mkazi wa makunguru Mbeya,ambae ni mshindi ,kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi Milioni 2 kila mmoja,kwenye Promosheni hiyo  inayowawezesha  wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu,akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)meseji ya M-PESA yenye  Tsh milioni 2 alizotumiwa kwa kushinda katika promosheni hiyo kabla ya kuzitoa,anaeshuhudia ni Meneja wa Vodacom  kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Elisha Tengeni  ili kujiunga na promosheni hiyo wateja wanatakiwa kupiga *149*01#

 Meneja wa Vodacom  kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Elisha Tengeni  (kulia)akimkabidhi Tsh milioni 2  Mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao Bw. Isaya Sengo-mkazi wa makunguru Mbeya,ambae ni mshindi ,kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi Milioni 2 kila mmoja,baada ya kuzitoa kwenye M PESA alizotumiwa toka makao makuu ya Vodacom kwa ushindi wake kwenye Promosheni hiyo  inayowawezesha  wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu.Ili wateja kujiunga na promosheni hiyo wanatakiwa kupiga *149*01#

No comments: