22.11.13

Tuesday, July 30, 2013

(News) MSHAURI MSANII WAKO coming soon

Ni mada mpya inayokuja kupitia blog yako ya DJCHOKA kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8. Hii inakupa nafasi kwanza yakunitumia jina moja la msanii gani unayetaka mashabiki wamshauri kwa siku hiyo. Tutakuwa tukijadili mara tatu kwa wiki yaani Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Siku ya Jumanne na Alhamisi itakuwa ni siku yakunitumia majina hayo ya msanii utakayetaka ashauriwe ili ajijue anatakiwa kuwaje katika jamii. Jinsi yakunitumia jina la msanii huyo awe wa Bongo fleva au Bongo Movie au msanii yeyote ambaye anajulikana kwa jamii, kama upo Bongo utanitumia msg kwenye simu yako utaanza kwa kuandika DJCHOKA halafu utaandika jina la msanii huyo halafu utalituma kupitia namba hii 15678 AU kwa njia ya email djchoka84@yahoo.com.

4 comments:

Anonymous said...

safi sana djchoka haya ndio mambo sasa,tunamweka msanii ubaoni anajadiliwa ili ajielewe yeye ni nani

HENRY
DODOMA

Anonymous said...

NIMEKUELEWA SANA KAKA, WAKWANZA KUSHAURIWA AWE MSANII HEMED PHD MAANA YULE JAMAA BWANA HATA SIMUELEWI

Anonymous said...

wee uliyeandika ujumbe wa hemedy nakuunga mkono

Anonymous said...

mimi nataka wa kwanza kushauriwa diamond maana anapoelekea cpo