22.11.13

Friday, July 12, 2013

(News) Ongea na Mkali wa Vodacom Chiku

Tafadhali usikose kujiunga nasi leo Ijumaa tarehe 28/6/2013 ifikapo Saa Nane Kamili hadi Saa Tisa Kamili (2pm-3pm) kwa mahojiano ya moja kwa moja ( Live Chat) na mkali wa Vodacom Chiku a.k.a Vitamin D+.
Chiku ataongelea mambo mbali mbali yakiwemo namna ya kushiriki zoezi la kuwa Mkali wa Vodacom na fursa alizopata kama Mkali wa Vodacom. Kuwa live na Mkali wa Vodacom leo tafadhali bofya http://ow.ly/msRhc

1 comment:

paul pilla said...

bro choka mbona mi hawakunipa live chat bhana hao voda ????