22.11.13

Thursday, July 04, 2013

(News) PROMOSHENI YA LIPA KWA M PESA SABASABA YAIBUA WASHINDI WATANO

 Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Bakari Maggid akiweka karatasi zenye majina ya washiriki wa Promosheni  ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi Elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000   kila siku ambapo washindi watano walipatikana,Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania wengine wanaoshuhudia  toka kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.

 Mmoja wa wawakilishi wa Vodacom Tanzania Jayles Joel akizungusha gurudumu lenye karatasi zenye majina washiriki wa Promosheni lipa kwa M pesa na ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku ambapo washindi watano walipatikana,Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania,wanaoshuhudia toka kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu na Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Bakari Maggid.

 Mkazi wa jijini Dares Salaam Bi.Khadija Abdallah (kushoto) akishuhudiwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu wapili toka kushoto na Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Bakari Maggid akichukua karata yenye jina la mshindi wa kwanza kati ya washindi watano waliojishindia shilingili elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000  kila mmoja katika promosheni ya fanya malipo kwa huduma ya M PESA ukiwa Sabasaba.

 Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiongea na baadhi ya waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba ambapo washindi watano walipatikana na kujishindia shilingi elfu 40 kila mmoja sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000  kila siku.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiongea kwenye simu na mmoja kati ya washindi watano waliojishindia shilingi elfu 40 kila mmoja kwenye  droo ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba  sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akimpigia simu mmoja kati ya washindi watano waliojishindia shilingi elfu 40 kila mmoja kwenye kupitia promosheni ya lipa kwa M pesa na ushinde ukiwa Sabasaba  sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku.

No comments: