22.11.13

Wednesday, July 17, 2013

(Official Music Video) Mams & Koba Mc - Zoba


 Hii ni video ya ngoma mpya kutoka kwa msanii Mams akiwa sambamba na msanii kutoka Watu Pori maarufu kama Koba Mc ambae hadi sasa anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Sina Noma Nae na nyinginezo.
Sasa mpya kutoka kwa wasanii hawa ni kuwa kwa pamoja wameachia video ya ngoma yao inayokwenda kwa jina la “ZOBA”.
Ambapo audio ya ngoma hiyo ilifanywa ndani ya studio ya Digital Vibes na Video imefanywa na kampuni ya Next Play chini ya Director The One.

No comments: