22.11.13

Thursday, July 18, 2013

Pata KIONJO cha "Ma Brand New" MAKALLA WA UKOO

Pata kusikiliza kionjo toka katika wimbo wa JCB na MoPlus featuring Catrina "MA BRAND NEW", track ambayo itapatikana katika Mixtape ya "Makalla wa Ukoo" volume one yenye ngoma kibao toka kwa wakali hawa wawili,Bofya HAPA na endelea kusupport hiphop Music, WASHABKI wanaweza pia kujipatia Tshirt MbaliMbali toka Arusha "MOVEMENT", "TABIA MBAYA", "MAKALLA WA UKOO" kwa  mawasiliano/mahojiano zaidi check kupitia +255 713 641 677 pamoja na +255 715 488 255 powered by www.vmgafrica.com

No comments: