22.11.13

Thursday, July 25, 2013

(Photo's) The making of music video "KILA SABABU" by GENTRIEZ MWAKITABU

Pichani huyu mtu wa mbele kabisa hapa mwenye tai ndefu ndio msanii mwenye video anaitwa Gentriez Mwakitabu aka Arusha Boy. Hii ni video yake nyingine mpya kabisa ameshutia pande za Atown na video hiyo inaitwa Kila Sababu. Hizi ni picha zilizochukuliwa wakati wakishoot video hiyo, ndani ya hizi picha nawaona wasanii wenzake wanaotokea huko huko Arusha, namuona msanii kama Chalii mtoto wa bibi, namuona Dogo Janja na pia namuona video model yule aliyeonekana kwenye video ya Belle 9 inaitwa Listen

No comments: