22.11.13

Tuesday, August 20, 2013

(Audio) Banx - Area Code (Noiz.Riddim)

Banx na Area Code Juu ya Riddim raggaton beat aka Hookmaster toka pande za Arachuga akiwakilisha vilivyo +255, "Nipo likizo fupi kabla ya kuanza ajira rasmi hivo nimefeel ni muda tangu kurecord,fans wamemiss ladha kibao so hi ngoma club banger iko ready to set floors on fayaaaa,holla na banx kwa Mahojiano/Mawasiliano zaidi kupitia + 255 717 766 348 na pia download Area Code HAPA, powered by www.vmgafrica.com

No comments: