22.11.13

Sunday, August 25, 2013

#DJCHOKAblogTOP10 week hii.

Ikiwa ni week ya 5 leo tunaiangalia tena DJCHOKAblog TOP 10 ikiwa katika chat nyingine kabisa, bado hakuna wimbo unaoweza kufika namba 1 na kuufunika wimbo wa Rama Dee (KAMA HUWEZI) ikumbukwe kuwa hizi ni kura zenu wenyewe wadau wa DJCHOKAblog na sio kama tumepanga sisi. Wimbo wa Young Killer uliingia week iliyopita lakini week hii umeweza kupigia kura na kuwa nafasi ya 3, nyimbo mbili zinazotoka ni wimbo wa Mwana FA & AY (BILA KUKUNJA GOTI) Pamoja na wimbo wa Joh Makini (NIKUMBATIE). Je week ya kesho unajua ni nyimbo gani mbili zitaingia kwenye DJCHOKAblog TOP 10?

No comments: