22.11.13

Thursday, August 01, 2013

(New Audio) Nay wa Mitego ft. Neyba - SALAM ZAO

12 comments:

Anonymous said...

Mkong'oto jaz band tisha xna true boyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Anonymous said...

saafiii the true boooy 9 6 6...SALAM ZAOOO

Anonymous said...

daah ngoma kali sana, nikuongea ukweli mwanzo mwisho... i love that much! bigup nay na mkong'oto kwa ujumla!

Gbro said...

Trueee boyyyy, unastahili mwana kuwa true boy, bonge la track ambalo halina unafki kwenye msg yake, safi sana mwana, ila kwa madam ritha pamenikuna sana.

Ally sulle said...

Mbona kama karudi nyuma kwenye enzi zake zile !!

Anonymous said...

Hahahahahaha its straighten up Brilliant work Mitegooo

Anonymous said...

Nimeipenda

Anonymous said...

hakuna k2 hapo chenga 2

Anonymous said...

Trueeeee boyyyyyyyy ebwana ww ni noma,,umechana mbaya.,,,xf sn

Anonymous said...

We ndo chenga usiyependa ukweli

Anonymous said...

Ni mkal zaid ya maelezo hata kama kuna wasiompenda ni kaz bure kwao.

Anonymous said...

Mh hii kali