22.11.13

Tuesday, August 13, 2013

(News) DR. JOSE CHAMELEONE awashukuru mashabiki wake kutoka TANZANIA

 Baada ya kupiga show yake hapa Dar es Salaam, msanii mkali kutoka UGANDA wengi tunamjua kwa jina la Jose Chameleone muda mchache ameandika status ya kuwashukuru waTanzania wote waliofika katika show yake. Nayanukuu maandishi aliyoyaandika katika ukurasa wake wa Facebook.

"TANZANIA, Like it will always be I appreciate the love towards me and I can't stop coming over whenever,The past is only there to build us stronger souls although I know like humans a few can hate, but they can't come in between GODs plan. I am inspired by the endless love.

And for my family am glad that no matter how small the time we spend together,We share to the fullest. I LOVE YOU and never worry Mr Mayanja got you at heart!

DUBAI! Next# fully loaded and clear its going down this weekend."

Unaweza pia kuLIKE page yake HAPA

No comments: