22.11.13

Sunday, August 18, 2013

(News) MUONEKANO MPYA WA MSIMU WA TATU JOYCE KIRIA WANAWAKE LIVE

Baada ya mapumziko ya uzazi, sasa narejea kwa kishindo ndani ya kipindi hiki pendwa cha Wanawake Live... Maoni yako ya Wanawakelive kusambaa maeneo mbalimbali ya Tanzania yamefanyiwa kazi,  so nakuja huko huko uliko si Dar tu na Vijijini zamu yenu imefika...Endelea kutazama kipindi chako cha ukweee,  inaweza kuwa ni maeneo yako unayoishi au kijiji ulichotoka nitapita Insh allah Mungu atupe uhai na wadau wa kushirikiana nao. ila lengo na madhumuni ni kufika sehemu kubwa ya Tanzania na kubadilishana uzoefu kwa maendeleo ya mwanamke wa Tanzania.

Huu ndo muonekano wenyewe wa Joyce Kiria Wanawake Live...eeeeh Super Woman Mwenyewe

Msimu huu mpya wa tatu unaanza rasmi tarehe 20/August/2013 .Kama kawaida muda na siku ile ile ..Ni siku ya Jumanne saa tatu kamili usiku ndani ya kituo chako cha kijanja EATV Pekee!

No comments: