22.11.13

Monday, August 26, 2013

Nyimbo zilizoingia kwenye DJCHOKAblog TOP 10 kwa week hii ndio hivi.. VOTE NOW

Chat yetu kwa week hii ndio kama mnavyoiona nyimbo mbili zilizoingia kwa week hii ni wimbo wa Chidi Beenz (NAKAZA ROHO) pamoja na wimbo wa Bob Junior (KIMBIJI) endelea kupiga kura wimbo gani unaoupenda ili ziendelee kubaki kwenye chat, ikumbukukwe nyimbo mbili zitakazokuwa na kura ndogo ndio zitakazotoka kwenye TOP 10.

3 comments:

Anonymous said...

Salam zao ipande juujuu kama iwe namba 3 au 2

Gotard Miyonjo said...

Salamu zao iwe juujuu kabisa maana ni bonge la UJUMBE ulio ndani.........Big Up Nay.

Gotard Miyonjo said...

Salamu zao iwe juujuu kabisa maana ni bonge la UJUMBE ulio ndani.........Big Up Nay.