FidoVato toka Vatoloco the red anadrop full package ya "Biz Za Machiz"
ikiwa ni Audio & Video project ilorekodiwa Noizmekah Studio na
video pia kufanywa Noizmekah-Hoodpixx VMG chini ya Defxtro, Pata
kudownload ngoma HAPA na video link hii http://goo.gl/Q5twYu
Hii ni Hardcore Hiphop Material for all the real Hiphop Fans in the
world, Kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na FidoVato kupitia +255
783 825 519 powered by www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment