22.11.13

Wednesday, August 21, 2013

(Photo's) The making of music video CRAZY MAN by TNG na ROSE NDAUKA

Hizi ni picha za utengenezaji wa video mpya ya TNG wakiwa wamemshirikisha mwanadada anayefanya vizuri katika Bongo Movie anatambulika kwa jina la ROse Ndauka. Video hii naambiwa imetengenezwa na kampuni ya TREADSTONE INC na mtu aliyedirect video hii anajulikana kwa jina la TAKURA NYORANI ni dir kutoka kwenye ile filamu ya Siri ya Mtungi na pia huyu jamaa si mbongo bali ni Mzimbabwe.

No comments: