PICTURE OF THE DAY: Prof Jay & Mr II Sugu
Profesa J alipomtembelea mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi aka Mr II Sugu nyumbani kwake Mbeya leo.. hawa ni wakongwe wa mziki wetu wa Hip Hop hapa Bongo, kukutana kama hivi inaleta faraja maana lazima kila mmoja awe na neno lakumwambia mwenzake na mwisho wa siku jibu linakuwa NDIO.
No comments:
Post a Comment