22.11.13

Tuesday, August 27, 2013

WELCOME HOME BABY JAY

Alhamdulilah namshukur m/mungu aliye tuumba mimi na wewe pamoja na vilivyomo dunia hii, pili mama angu mzazi Pamoja na familia kwa ujumla, tatu na wewe shabiki yangu wa nguvu, ambaye umeanza kunikubali tangu uliposkia tuu nyimbo zanzgu na mpaka sasa, endelea hivyo hivyo kwani bado naihitaji support yako, niko nje ya Nchi kama nilivyo waarifu tangu awali na bado naendelea kupiga kazi hakuna kulala ni kuonesha tuu kama na sisi tunaweza music na wakaukubali, show day after day ila nawamis sana watu wangu wa nyumbani Tanzania/Zanzibar, lakini ndo ivyo kazi imenibidi niendelee kubaki huku, endeleeni kuniombea dua,. niwe na afya nzuri ili nifanye kilichonileta huku then nirudi nyumbani salama:
Nikirudi I promise you Guyz Nitadondosha bonge la show la "WELCOME HOME BABY JAY":
#TUOMBEANE SALAMA TU
mwaaaaah all

http://iambabyjay.blogspot.com/ 

No comments: