22.11.13

Thursday, September 12, 2013

(Audio) Mlang'a - Mkuu wa Kaya

Msanii Chipukizi Mlang'a anayewakilisha vyema Daraja Mbili Arusha,anadrop na ngoma "Mkuu wa Kaya" ikiwa ni kazi juu ya beat ya producer "Dizzle pande za Usanii Production studio" vocal zikiwa zimefanywa noizmekah Studios Arusha, download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Mlang'a kupitia +255 752 022 108 powered by vmgafrica.com

No comments: