22.11.13

Thursday, September 12, 2013

(Audio) Pacha the Great ft AdoraboMc - Vina

Mc Pacha the great, mshindi wa pili (2nd runner Up) toka S.U.A season One akimshirikisha AdoraboMc, anadrop ngoma kwa jina "Vina" ,kazi ya hiphop ilosukwa pande za noizmekah productios na defxtro juu ya beat ya Moscow,pata kudownload HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi piga simu +255 714 650 431 powered by www.vmgafrica.com
-------
Pacha the Great ft AdoraboMc-Vina http://goo.gl/E0tz5t

No comments: