22.11.13

Tuesday, September 17, 2013

(Audio) Rack City Remix (Wananiitaga KeeZy)

Finally, baada ya muda mrefu KeeZy aka Kill-a-hater ameachia track
mpya ambayo inaitwa Wananiitaga Keezy (Rack City Remix) iliyofanywa
chini ya Koboko Recs na SK Touch. I represent Kinondoni Block 41, DSM,
Tanzania.

Wimbo huu utapatikana pia kwenye Mixtape yangu mpya (yenye nyimbo 10
kali) itayotoka this December, #1 Hustler. Nimefanya track nzima
mwenyewe ili kuwaonesha fans wangu that I can do it. Lets download
this mpaka zifike downloads 1000 tu.

No comments: