22.11.13

Saturday, September 07, 2013

GeezMabov ft FidoVato & SpacDawg - HipHop Misingi

Track "Hiphop Misingi" toka kwa Dirty South Dawg aka GeezMabov akishirikiana na FidoVato toka Vatoloco The Red pamoja na SpacDawg toka Kid Can Kill, Ngoma imeundwa pande za Noizmekah Production Studios chini ya Defxtro, Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na +255 783 825 519 powered by www.vmgafrica.com

2 comments:

KOBA said...

gud beat, mistar imesimama....... kiukweli ngoma ni kali... h.i.p h.o.p

Anonymous said...

Hivi nyie mtakujakuwa na watoto na wajukuu kweli? Wasanii wenzenu wa huko nchi za nje wanafanya hivi na kujiingizia hela lukuki - nyie mnafaidika nini kwa kujichorachora namna hii?