22.11.13

Wednesday, September 11, 2013

(News) Ndoa ya mwanamziki H.BABA na Bongo Movie FLORA MVUNGI yaleta majibu haya

Msanii H.BABA apata mtoto wa kike na amempa jina la #Tanzanite mtoto huyu amezaliwa katika hosp ya #MariaStope iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam

No comments: