22.11.13

Thursday, September 12, 2013

(New Audio) Baby Madaha - Summer Holiday

Baby Madaha alamba bingo nenee......aachia nyimbo kali riddim style"summer holiday"msanii wa kike wa bongo flava,pia mwigizaji maarufu hapa tz baby madaha amekuwa msanii wa kwanza wa kike kupata mkataba mnono nje ya tanzania ambapo ame sign na candy n candy records label ya jijini nairobi kenya  wenye thamani ya milioni 50tsh kwa muda wa miaka miwili.kampuni hiyo iliyomsign pia nguli wa takeu mr nice na mkali mwingine wa bongo flava top c,imemfanya first lady "baby madaha"azidi kushine kwa kumpa gari kali aina ya audi tt ya kutembelea,na kwa kuzidi kumuweka mwanadafada huyo juu, mkurugenzi mkuu wa label hiyo bilionea wa jijini nairobi mr joe kairuki ameamua kumpa moja ya nyumba zake jijini humo kwaajili ya kukaa pindi atakapokuwa nchini humo  kwa  shughuli zake za muziki,huku akiwa kwa hapa dar amempangia mjengo wa maana maeneo ya kijitonyama.hiyo itakua zari lake la maana kwakuwa kampuni hiyo imepanga kumpeleka level za mbelee kwa kuanza ataanza na show yake  baabkubwa a town akiwa na msanii wayre kutoka kenya...........stay tuned tuone je mdada atatusua??????congratulation baby Madaha  the Queen of Swagg"

No comments: