22.11.13

Tuesday, September 03, 2013

(News) Msanii huyu pekee kutoka TANZANIA ndiye aliyengia kwenye tuzo za CHANNEL O (CHOAMVA 2013) kwa mwaka huu.

 Majina ya washiriki watakaogombania tuzo za Channel O Africa Music Video Award (CHOAMVA 2013) yametajwa na kutoka Tanzania msanii aliyetajwa katika vipengele viwili ni msanii AY. Msanii huyu yeye yupo kwenye kipengele cha MOST GIFTED MALE na video yake iliyoingia inaitwa PART ZONE akiwa amemshirikisha Marco Chali.

Mbali na kipengele hicho pia AY ameingia kwenye kipengele kingine cha MOST GIFTED AFRICA EAST na video yake hiyo hiyo ya PART ZONE.

AY

Haya ndio majina ya wasanii mbali mbali kutoka AFRICA walioingia kwenye tuzo hizi
Most Gifted African Southern
My Eish Oskido-Mandebele,Damadobling,
Black Coffee ft Zakes Bantwin-Take it all off, 
Paul G ft Fabolous-Get Control,
DJ Dimplez ft L-We aint Leaving,
Khuli Ghana-Haddadazmove


Most Gifted Ragga Dancehall Video
Bufallo Souljah-“Basawine”
Radio & Weasel-Can't Let You Go,
Kaakie-Too Much,
P Unit ft Collo-You Guy,
Jesse Jagz-Murder Dem.


Most Gifted Female
Zonke-Feelings,
Liizha James-Vais Rochar,
STL-Stella,
tiwa Savage-Withotu My Heart,
Toya Delazy-Heart


Most Gifted Newcomer
Moneoa-Is'bhanxa,
Lola Rae-Watch My Ting Go,
Khaya Mthemthwa-Move,
Voctoria Kimani Mtoto,
Burna Boy-Tonight.


Most Gifted African West.
D Prince-Good bag,
Ice Prince-Aboki,
R2Bees-Life(Waaah) DBlack/Joey B-Vera Chidinma-Emi ni Baller & 
P Square-Alingo


Most Gifted Video of the Year
Azonto-Wiz Kid,
Get Control-Paul G ft Fabolous,
Do it Like I Can-Reason,
Life(Waaahi)-R2Bees,
Jealousy-AKA,
Khona Mafikizolo,
Stella-STL,
Alingo-P Square,
Fuse ODG,
Hit Em Up Xtatic/AKA&Prddy Ugly,
DatsWasup-Zeus ft AKA&Tumi.


Most Gifted Guo
Teargas-Wake Up,
Xtatic/AKA & Priddy Ugly-HitEmUp,
Micasa-Can't Get Enough,
EME-Baddest Boy,
Naeto C ft D' Banj-Tony Montana Remix,
Zonefam Contolola


Most Gifted Dance Artist
Kcee-Limpopo,
Khona-Mafikizolo,
Antenna-Fuse ODG,
Jamaica-DJ Malvado,
Xigubu-DJ Ganyani.


Most Gifted Afro Pop Artist
The Soil-Inkomo,
Sauti Soul-Money Lover,
2Face-Iheneme,
The Muffinz-Umsebenzi Wendoda,
Davido-Gobe


Most Gifted Kwaito Artist
L,vovo Derrango ft Professor-Palesa,
Professor ft Oskido-Fingerprints,
Ees-Woza December,
Kabelo-Impilo DJ Tira ft Big Nuz,
Joocy-Summertime


Most Gifted Male
 Donald-Over the Moon,
Zeus ft AKA#DatsWasup,
Wiz Kid-Azonto na Iyanya-Flavour,
Ay ft Marco Chali-Part Zone.


Most Gifted African East
P Unit na Collo,
Sauti Sol,
Radio & Weasel na Navio,
Ay ft Maco Chali 'Part Zone'

5 comments:

Anonymous said...

vizuri sana kaka yetu

Anonymous said...

HONGERA AY ENDELEA KUWAKIMBIZA WATOTO WADOGO

Anonymous said...

NIMEIPENDA HII kwa kweli

Anonymous said...

safi sana AY

Admin said...

Hongera sana AY....wafundishe na wengine jinsi ya kutuzoka na Channel O na sio kuishia tuzo za kilimanjaro 2