22.11.13

Monday, September 02, 2013

(News) Mwana FA na AY kwenda Nairobi kurekodi ngoma na producer Eric Musyoka

Pichani: AY & Mwana FA
 
Mwana FA na AY aka The Gladiators Jumanne hii watatua jijini Nairobi kwenda kurekodi ngoma mbili na producer maarufu wa Kenya, Eric Musyoka.

Prod Eric Musyoka kutoka Nairobi Kenya
 
Musyoka ni mshindi wa tuzo katika fani hiyo na anafahamika kwa kutengeneza hits kibao zikiwemo Biceps ya Juliani, Kadhaa ya Nonini, Juu Tu Sana ya P Unit, Furahiday ya Nonini na Nameless,Leta Wimbo ya kundi la Sema na Ha He ya Just A Band.