22.11.13

Tuesday, September 17, 2013

(News) SAM TIMBER new video producer kutoka ARUSHA afungua kampuni yake mpya.

Moja ya Produza kutoka pande za A Town Sam Timber, ambaye ashafanya kazi na wasanii wakubwa kama Ben Pol, Bu Nako, Fid Q, Lord Eyes na wengine kibao amesema kuwa amefungua kampuni yake ya kutengeneza Video. Moja ya ngoma ambayo ametengeneza ambayo inakubalika na wengi mpaka sasa ni 'Neno' ya Lord Eyes na Fid Q.
Produza huyo amesema kuwa kampuni yake ya Video inaitwa 'Timber Videoz', "wanaweza kunipata pale pale Fnouk Studio ni njia ya kuelekea Njiro Arusha baada ya kituo cha Bia kinaitwa 'Chini ya mti; kuna kibao cha Studio kinaelekeza Kampuni inaitwa Timber Videos", alisema.
 

No comments: