22.11.13

Friday, September 06, 2013

(Photo's) Fuse ODG alivyowasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA, Dar

 Mkali wa Azonto 'Nana Richard Abiona' aka Fuse ODG amewasili leo 6 Sept majira ya saa tisa usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa Mwl.J.K Nyerere.
Fuse ODG anatarajia kutoa burudani kali siku ya tarehe 7 Sept kesho katika viwanja vya Ustawi wa Jamii

Ticket kwa shilingi 10000/=

Mlangoni 15000/=

No comments: