22.11.13

Sunday, September 15, 2013

(Photo's) Kampeni ya Cheka Bombastik Yafika Dar Live

 Bi. Jackline Abduni (kushoto) anaiongoza kundi la bendi la taarab maarufu kama Five Star kwenye ukumbi wa Dar Live siku ya Jumamosi, katika tamasha lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom kupitia kampeni yake ya Cheka Bombastik. Ili kujiunga na vifurushi vya Cheka Bombastik, wateja wanashauriwa kubonyeza *149*01#.

 Wanenguaji wa bendi la taarab maarufu kama Five Star wakionyesha umahiri wao katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam, siku ya Jumamosi, katika tamasha lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom kupitia kampeni yake ya Cheka Bombastik. Ili kujiunga na vifurushi vya Cheka Bombastik, wateja wanashauriwa kubonyeza *149*01#.

No comments: