22.11.13

Saturday, September 14, 2013

(Photo's) Maandalizi Kili Music Tour 2013 Viwanja vya Leaders Club

 Jukwaa litakalotumika katika Kilimanjaro Music Tour 2013 katika viwanja vya Leaders Club.

 Timu ya Amsha Amsha inayozunguka mtaani kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kujitokeza uwanjani

 DJ Mafuvu wa East Africa Radio na TV ambaye ndiye ataendesha shughuli nzima akiandaa vifaa vyake vya muziki

No comments: