Wakwanza kulishwa keki alikuwa dada yangu Lady Jay Dee.
Wa pili kula keki alikuwa mama mtoto wangu anaitwa mama Harrison
Kushoto ni mdogo wangu wa pili anaitwa Neema halafu mama Harrison halafu mdogo wa tatu na wa mwisho kwenye familia yetu anaitwa Judy
Lady Jay Dee na wifi yake mama Harrison
Monica, Rechal Temu na Mama Harrison
1 comment:
choka kumbe una dada wazuri hongera bwana.
Post a Comment