22.11.13

Saturday, September 28, 2013

Tajiri wa mahaba "CASSIM MGANGA" ndani ya CLUB BILLICANAS 29.9.13

Ni kwa kiingilio cha elfu kumi tu unapata raha zake pale Billcanas  siku ya tarehe 29-09-2013 kuwa mmoja wa watakao hudhuria, tukutane pale kumshuhudia Cassim Mganga akitoa dose ya mahaba.

No comments: