22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(Audio) Machalii ya Mambele - Cheza Bila Brake

Fans kutana na "Machalii ya mambele" wakiwasilisha ngoma ya "Cheza Bila Brake" akiwemo G Wa Saimon pamoja na Devii Swaga, Mkono toka Noizmekah studios arusha tunapenda kuomba support kwenu fans wetu East Africa nzima, download ngoma HAPA na kwa mawasiliano zaidi check nasi kupitia +255 764 752 594 au +255 290 833 au kwa email gasper.kessy@yahoo.com or gaspersaimon@gmail.com, powered by www.vmgafrica.com
-------------
Machalii ya Mambele-Cheza Bila Brake http://goo.gl/zZsnIG

No comments: