Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakifurahia
mara baada ya kupewa msaada wa madawati 100 na benki ya KCB Tanzania,Jumla ya
madawati 731 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yametolewa kwa shule za msingi 6 na sekondari moja ya
oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Fabian Qwaray
akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakati wa kukabidhi msaada wa huku madawati 100 yaliyotolewa na benki
hiyo,Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi milioni 121 yametolewa kwa shule za msingi 6 na sekondari moja ya
oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Fabian Qwaray
(kulia )akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa
shule ya msingi Hananasif,Bw. Peter Kimangano msaada wa madati 100 yaliyotolewa
na benki hiyo,Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa kwa shule za msingi Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasif
Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Meneja Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania,Bi. Hellen
Siria akimfungia kamba za viatu vya mwanafunzi wa shule ya msingi Mkunguni
baada ya kukabidhi msaada wa madati 100 kwa shule hiyo Jumla ya madawati 731
yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa
kwa shule za msingi Makumbusho,
Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
MKIKAA KWENYE MADAWATI KAMA HIVI MTAKUWA NA UELEWA SANA: Meneja
Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania,Bi.Hellen Siria, akiwafundisha
kusoma kitabu cha sayansi wanafunzi
wa darasa la Tatu katika shule ya msingi Hananasif mara baada
yakuwakabidhi msaada wa madawati 100. Jumla ya madawati 731 yenye
thamani ya
shilingi Milioni 121 yalitolewa kwa shule za
msingi Makumbusho, Mbuyuni,
Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mahusiano ya nje wa benki ya KCB Tanzania Salome Kessy
akiangalia moja ya madaftari ya wanafunzi wa shule ya msingi Mkunguni ,baada ya
benki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa shule hiyo. Jumla ya madawati
731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa
kwa shule za msingi Makumbusho,
Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mahusiano wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania
tawi la Magomeni,Victoria Kisima na Mwalimu Mkuu wa
shule ya Mkunguni Wifrida Lweyemamu wakiwashuhudia jinsi wanafunzi wa shule hiyo
walivyo jawa na furaha mara baada ya kupata msaada wa madawati
100, waliyopewa na benki hiyo . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi
Milioni 121 yalitolewa kwa shule za msingi Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu
Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment