22.11.13

Tuesday, October 22, 2013

(News) MDUDU ndio ujio mpya anaokuja nao msanii SOLO THANG akiwa na MR BLUE Ijumaa hii.

Stay tune hapa hapa kwani wimbo huu nimepata bahati yakuusikiliza ni mzuri sana kwani Solo amemzungumzi Mdudu jinsi anavyozingua kwenye jamii. Katika wimbo huu Solo ameimba verse 3 na kwenye chorus ndio akamwachia mdogo wake katika game Mr Blue apige msumari wa mwisho. Ni Ijumaa hii tarehe 25 mzigo utakuwa hewani kuanzia saa sita usiku pale tarehe itakavyobadilika.

No comments: