22.11.13

Friday, October 18, 2013

(Official Music Video) Ommy Face - Natunza

2 comments:

steven benjamin said...

umefika muda sasa tanzania inabidi tufungua inner part za masikio yetu na kuthamini muziki wetu kwa kubadilisha tempo na metronome ya muziki coz sio kila mtu anapenda kusikiliza muziki wenye tempo kuanzia 110 na kuendelea... definitely nam support huyu jamaa aliyefanya hii ngoma but unfortunately my voice cant be heard coz now days ngoma kama hizi haipewi airtime hata ordinary time kusikika kupigwa haupigwi... tubadirike watanzania

steven benjamin said...

muziki mzuri tatizo bongo sikuhizi there is no promo for songs below 110 music tempo and metronome... lets change the attitude