''najua mnajua kuwa najua,ila hamuwezi nichukua kwenye tour,
mnawachukua wasiojua, mitego wanayotega naitegua
siwezi nikajihusisha na makosa ya jinai ili napate riziki,
kipaji changu ni hiki,
bariki,kazi ya mikono yangu,
wabariki mariki na maadui zangu''
DEDICATION KWA SAJUKI,LANGA, ALBERT MANGWEA,SHARO
MILLIONEA,KANUMBA,MZEE KIPARA NA WASANII WOTE WALIOTANGULIA MBELE ZA
HAKI WAKIWA NI MAARUFU LAKINI HAWANA KITU...
BONYEZA LINK HII UONE VIDEO YOTE
NA LINK HII DOWNOLOAD AUDIO
( CHEZA REDIO AU SAMBAZA KWA WATSAPP NK)
NB
UKIMALIZA HIYO
ONA NA HII NA HII
KITA AND AZMA - I KNOW WHAT U WANT
MUNGU AWABARIKI....ITS EI ZED EM EI (MY NEW ALBUM WITH THIS SONG WILL BE OUT SOON)
contact:+255712 73 88 88
No comments:
Post a Comment